info@abamwesigachares82@gmail.com Admin Panel
Huduma na Shughuli Zetu

Ratiba Rasmi ya Maranatha Choir

Karibu ushiriki nasi kwenye ibada, mazoezi, na maombi kulingana na ratiba yetu ya wiki na mwezi.

Jumanne

Saa 10:00 Jioni - 2:00 Usiku

Ibada na Mazoezi ya Kwaya kwa ajili ya maandalizi ya huduma.

Jumatano

Saa 10:00 Jioni - 12:00 PM

Mafundisho ya mwisho ya kiroho na maonyo ya neno la Mungu.

Ijumaa

Saa 10:30 PM - 12:00 Jioni

Ibada maalum ya Maombi na Maombezi ya Kwaya na Waumini.

Jumamosi

Saa 10:00 Jioni - 11:00 Jioni

Mazoezi ya mwisho na maandalizi ya Ibada kuu ya Jumapili.

Jumapili (Ibada Kuu)

Saa 12:30 Asubuhi - 5:30 Asubuhi

Ibada Kuu ya Sifa, Kuabudu, na Mahubiri ya Neno la Mungu.

Jumanne ya Mwisho wa Mwezi

Mkesha Maalum

Mkesha wa maombi mazito na mazoezi kwa ajili ya kufunga mwezi.