info@maranathachoir.org Admin Panel
Kuhusu Sisi

Huduma ya Uimbaji yenye Dira ya Kiroho na Kijamii

Maranatha Choir ni tasisi na huduma ya uimbaji iliyojikita katika kuhubiri Injili ya Yesu Kristo kwa njia ya uimbaji, maombi, na huduma mbalimbali za kijamii.

Dira Yetu

Kugusa na kubadilisha maisha ya watu kupitia nyimbo za sifa na kuabudu.

Dhamira Yetu

Kudumisha ibada ya kweli na kuweka mazingira ya kiroho kwa kila muumini.

Maranatha Choir